Kwa mda wote mwanafunzi anatakiwa:
- Awe mazingira ya shule ispokua kwa kurusa.
- Kuheshimu uongozi wa shule, waliimu na wafanyakazi wasio waalimu, na wanafunzi wenzake.
- Kutumia lugha inayokubalika, akiwa ndani na nje ya shule.
- Kusalimu watu wote kwa heshima kwa kutumia lugha ya kiingereza.
- Kufuata ratiba ya shule.
- Kuheshimu na kutunza mali za shule kwa uangalifu.
- Kuvaa nguo za shule husika kutokana na wakati.
- Kuwahi.
- Kuongea kiingereza.
- Be respectful in all attitude and to work diligently.